IQNA – Mamlaka ya utawala wa Kizayuni imezuia Sheikh Ikrima Sabri , khatibu wa Msikiti wa Al-Aqsa na Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la al-Quds (Jerusalem) kuingia na kuswali katika eneo hilo takatifu kwa muda wa miezi sita — hatua iliyolaaniwa vikali kama sehemu ya kampeni ya kuwalenga viongozi wa kidini wa Kipalestina.
Habari ID: 3481336 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/07
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amelaani vikali hujuma ya hivi karibuni ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya nyumba ya Sheikh Ikrima Sabri na kusisitiza kuhusu mshikamano wa Wapalestina katika kutetea Mji wa Quds (Jerusalem) na Msikiti wa Al Aqsa ulio mjini humo.
Habari ID: 3474409 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/11